Nenda kwenye maudhui
  • Nyumbani
    • Tuma ujumbe faraghaniKaa mtandaoniJenga jumuiyaJielezeWhatsApp ya biashara
  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • Pakua
Pakua
Sheria na Sera ya Faragha2024 © WhatsApp LLC
Ukurasa Mkuu wa WhatsAppUkurasa Mkuu wa WhatsApp
    • Tuma ujumbe faraghani

      Ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho na vidhibiti vya faragha.

    • Kaa mtandaoni

      Tuma ujumbe na upige simu bila malipo* kote ulimwenguni.

    • Jenga jumuiya

      Mazungumzo ya vikundi yamerahisishwa.

    • Jieleze

      Jieleze kwa vibandiko, GIF, Picha na zaidi.

    • Biashara ya WhatsApp

      Fikia wateja wako popote walipo.

  • Faragha
  • Kituo cha Msaada
  • Blogu
  • Kwa Biashara
  • WhatsApp Web
  • Pakua
Pakua

Sema unavyohisi

Sema kwa ujasiri. Tangamana kihalisia na marafiki zako.

Wakati mwingine tunahitaji zaidi ya maneno kumjulisha mtu jinsi tunavyohisi. Hupaswi kutegemea ufafanuzi wa wazi ili kufikisha ujumbe wako.

  • Tuma vibandiko au GIF

    Unapohitaji zaidi ya maandishi, kuwa mbunifu kwa kutumia vibandiko na GIF.

  • Sema zaidi kutumia hisia

    Shiriki hisia zako kwa kujibu kwa emoji badala ya ujumbe.

  • Shiriki picha na video

    Nasa matukio muhimu ukitumia kamera yetu iliyojengewa ndani. Hariri na utume haraka hata kama unatumia muunganisho wa polepole.


Shiriki matukio ya kila siku kwenye hali

Chapisha ujumbe, picha na video kwenye Hali ambapo hutoweka baada ya saa 24. Binafsisha machapisho yako kwa kuongeza vibandiko, GIF na zaidi.

Je, unahitaji msaada zaidi?

Angalia Maswali Yanayoulizwa Sana
Je, ni jinsi gani ninavyoweza kutumia vibandiko?
Je, ni jinsi gani ninavyoweza kutuma hisia za ujumbe?
Je, ninaweza kudhibiti vipi midia yangu?
Angalia Maswali Yote Yanayoulizwa Sana
Pakua
Nembo Kuu ya WhatsApp
Nembo Kuu ya WhatsApp
Pakua
Huduma ZetuVipengeleBloguUsalamaKwa Biashara
Sisi ni naniKutuhusu sisiKaziKituo cha ChapaFaragha
Tumia WhatsAppAndroidiPhoneMac/PCWhatsApp Web
Unahitaji msaada?Wasiliana NasiKituo cha MsaadaPakuaUshauri wa Usalama
Pakua

WhatsApp LLC 2024 ©

Sheria na Sera ya Faragha
Sitemap